Feb 22, 2017 Nika chukuliwa nyikani na Roho wa Mungu,na kufunuliwa mambo mengi ya nchi ya Kenya na hali ya uchaguzi vile inaendelea kudhoofika nchini.Roho wa Mungu akaendelea kusema kuhusu Taifa hilo,na kusema,mwana wa Adam,angalia kuna uchochezi unawofanyika chini chini,na ikiwa Kalonzo Steven Musyoka atakuwa mmoja wao watakao chochea moto huo ambao uko karibu kuwakishwa,basi Kalonzo mwenyewe ataingizwa ndani ya mto huo.Na moto huo ambaye ni Deputy President William Ruto,ndiye atakuwa chanzo cha mto huo unao talajiwa kuwashwa nchini Kenya.
Ni yeye amejitakia asema Bwana wa Majeshi.Na wa Kenya wataingia kwa furaha ndani ya moto huo, na hawatasikia ukali wa moto huo na hakuna mtu atakaye wakataza kuingia ndani yake kwasababu watakuwa na shauku ya kuingia ndani ya moto huo, na hakuna mtu watakaye msikiza kwa mawaidha yeyote ya kuwashawishi wasingie katika majaribu ya mauaji.Bari watajirazimisha kuingia ndani ya moto huo, na watazidi kuingia kwa undani zaidi ya moto huo wakifurahia asema Bwana wa ma Majeshi.
Neno la bwana likaendelea kuzungumza na mtu wa Mungu,mwana wa Adam,angalia kuna watu wanaotafuta kumfanya NAIBU wa Rais wa Kenya kuwa “KIPOFU”na akimalizwa hivyo “KIPOFU”basi itakuwa dhahilli ya kwamba hawezi kufanya lolote katika kazi za kisiasa kwasababu hana macho ya “KUONA”watafanya hivyo illi wapate jinsi ya kuweka mtu mwingine katika nafasi yake ya NAIBU wa Rais basi ikiwa hivyo,ni dalili ya moto huo utakao kuwa umefika mda wake wa kuwashwa asema bwana wa Majeshi.Hapatakua na amani tena katika nchi ya Kenya kwasababu nafasi ya vita itakuwa imepatikana kwa urahisi sana asema bwana wa Majeshi.
Nerekwa umwuka w’Ihene n’Intama zirwanira mu butayu,maze mbona Intama irwanye n’Ihene irayinesha,ijambo ry’Uhoraho Uwiteka Nyiringabo rinzaho maze rirambwira riti,mwana w’umuntu,dore umwuka w’ikinyoma n’umwuka w’Ukuli birahanganye kandi umwuka w’Ikinyoma uraneshejwe kuko ukuri k’Uwiteka kuganje mu isi ya bazima uko niko Uhoraho Uwiteka Nyiringabo avuga.