Home Economy Biashara ya watoto wachanga nchini china.

Biashara ya watoto wachanga nchini china.

0

Habari zinazo fikia gazeti la inyangenews,kutoka nchini Kenya jijini Nairobi,inasemekana kwamba katika Hosipitali ya Pumwani kumeibiwa watoto walio zaliwa mapacha.


kulingana na habari turizo zipata,utafiti ulifanywa na viongozi wa hospitali hiyo,inasemekana kwamba hao watoto walio zaliwa wakiwa mapacha wameuzwa na manansi kwa wa China lakini wakaragai wazazi wa mapacha hao kwamba watoto wamefariki baada ya kuzaliwa.

inasemekana kwamba serikali ya Kenya imechukua hatua ikafwatilia kesi hiyo,ambapo ikutana ya kwamba hata hao watoto mapacha baada ya kupima DNA majibu yalikuwa hayafanani na watoto hao wakisemekana kwamba ni mapacha wanaotoka kwa mzazi mmoja

gazeti la inyangenews baada ya kufanya utafiti,limekuja kugundua kwamba hizo biashara zinazo fanywa na wananchi wakiChina hata gazeti la bbc linao andikiwa kwenye mtandao limenukuu ya kwamba wachina wamepatikana wakifanya biashara ya kuuza watoto wachanga .

wazazi mnastahili kuwa macho endapo mnaelekea hospitalini wakati wa kujifungua mtoto kwasababu inatia huzuni ikiwa mzazi atachukua mimba ya miezi tisa (9);halafu baada ya kuzaa mtoto apigwe bei na mtu ambae hajasika na mtoto huyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Translate »
Exit mobile version
Skip to toolbar